Mganga wa jadi ndio Doctor?Alikua mganga wa jadi bwashee ni maarufu Sana mkoani Njombe ila ni Aina ya wale waganga wanaojiganga maana alikua njema Sana kiuchumi na ana miradi kibao!
Alijisahau vipi ikiwa alitambua kuna kifo na IPO siku yeye pia atakufa na kuamua kujijengea kaburi lake na wake zake watatu. Ni Nani Kati yako na yeye ambaye amejisahau?Jamaa alikuwa kajisahau akawa anapanga mipango yake taratibu wakati maandiko yanasema hivi,"maana ninyi wenyewe mnajua yakini yakuwa siku ya Bwana yaja kama vile mwivi ajavyo usiku".1Wathesolanike 5:2...
View attachment 1840225View attachment 1840223
Dokta Anthony Mwandulami mganga maarufu kutoka Kijiji Cha Itunduma kitongoji Cha wangama Kata ya Mtwango mkoani Njombe Afariki Dunia usiku wa Jana jijini Dar es Salaam.
Mganga huyo aliyejipatia umaarufu nchini baada ya kujijengea kaburi lake la mamilion ya fedha ambalo alisema atazikwa yeye na wakeze watatu.
Dokta Mwandulami alichukua uamuzi huo wa kujiandalia makazi ya milele kitendo kilichowashangaza wananchi wengi hapa nchini.
Taarifa zaidi nitazileta Kwa update!
Zaidi, soma: Njombe: Mganga wa kienyeji Mwandulami ajijengea kaburi la mamilioni, anamiliki magari ya kifahari
Ni mtoto wake yuleHivi huyu ana uhusiano na yule Mwandulami wa Buza? sababu nae ana clinic yake pale Buza!
Kazi ya waganga na madaktari ni kupambana na maradhi yanayotishia kufupisha maisha yetu lakini si kuhakikisha hatufi, kufa ni lazima haikwepeki na hakibagui Mkuu.Vipi ameponya wengi.yeye kashindwa kujiponya?
wewe aliekwambia title ya Dr mbaka usome nani hio hupewa mtu yeyote mwenye mchango katika jamii yake Kwa sababu yeye alikua kada ya tiba Asili ndio maana akaitwa hivyo ulitaka aitwaje Kwa mfano Kwa kidhungu?Mganga wa jadi ndio Doctor?
Acheni kudhihaki taaluma za watu
aaaa Prince Kunta wa hukaye upo bwashee?Ni mtoto wake yule
mkuu ngoja nitakuletea mrejesho Kama ubwabwa wamechangia ila marehemu aliwekeza Sana kwenye kilimo Cha mpunga huko ubaruku mbarali district nahisi watabeba tu kwenye maghala yake ndugu zangu wa pale Mtwango wale wavimbiwe washushie Ulanzi na ughimbi murua!Kwahio hela ya ubwabwa nayo aliacha au tutachangishana?
View attachment 1840225View attachment 1840223
Dokta Anthony Mwandulami mganga maarufu kutoka Kijiji Cha Itunduma kitongoji Cha wangama Kata ya Mtwango mkoani Njombe Afariki Dunia usiku wa Jana jijini Dar es Salaam.
Mganga huyo aliyejipatia umaarufu nchini baada ya kujijengea kaburi lake la mamilion ya fedha ambalo alisema atazikwa yeye na wakeze watatu.
Dokta Mwandulami alichukua uamuzi huo wa kujiandalia makazi ya milele kitendo kilichowashangaza wananchi wengi hapa nchini.
Taarifa zaidi nitazileta Kwa update!
Zaidi, soma: Njombe: Mganga wa kienyeji Mwandulami ajijengea kaburi la mamilioni, anamiliki magari ya kifahari
aaah wewe vipi huoni hapo lina madirisha mwendazake atapata upepo Safi kabisa unafananisha na lile la kule Chattle?Poleni sana...Hilo jumba halitamsaidia chochote
Baba yakeHivi huyu ana uhusiano na yule Mwandulami wa Buza? sababu nae ana clinic yake pale Buza!
Kwani si anatibu..tena bora yeye kuliko hao wanao google treatmentMganga wa jadi ndio Doctor?
Acheni kudhihaki taaluma za watu
Itakuwa baba na mwana walikuwa na matatizo ya akili. Si bure.Mwanaye nilisoma naye naye alifariki kwa upenzi siku hiyo simba ilishinda akaenda kulala kwenye reli pale yombo View attachment 1840557
Hii timu ya Simba imesababisha vifo vingi sana kwa mashabiki wake, tofauti kabisa na Wananchi Yanga! Mifano ni mingi, muda ni mchache!Mwanaye nilisoma naye naye alifariki kwa upenzi siku hiyo simba ilishinda akaenda kulala kwenye reli pale yombo View attachment 1840557
Kajisahau kivipi? Kaburi halijakamilika?Jamaa alikuwa kajisahau akawa anapanga mipango yake taratibu wakati maandiko yanasema hivi,"maana ninyi wenyewe mnajua yakini yakuwa siku ya Bwana yaja kama vile mwivi ajavyo usiku".1Wathesolanike 5:2...
Ndo huyu nilisikia anatoa utajiri wa punje za nafaka......au kuna mwingine?