Ukija kua na binti wa miaka 18 ndo utajiuliza hayo mambo ya sheriaKwani sheria ili utambulike kama mtu mzima ni hadi ufikishe umri wa miaka mingapi?.au siku hizi ni 30 sio 18 tena.
Hakuna adhabu aliyoruhusiwa mzazi au mlezi kwa mtoto wake ambayo hupelekea kifo adhabu iliruhusiwa ni kutumia bakora tu maana hata mkono umekatazwa bakora haiwezi kuua na umepewa tahadhari kabisa usimpige mtoto ukiwa na hasira,Kanuni ya Maisha kati ya mtoto na mzazi au mlezi ipo wazi. Mzazi amepewa wajibu wa kumtunza na kumlea pia kumpa mahitaji yake yote kadri ya uwezo wa mzazi/mlezi.
Hata kwenye Sheria zetu za Tanzania kwenye Sheria ya mtoto inampa mzazi wajibu huohuo. Hata kwenye biblia wajibu huo amepewa mzazi/mlezi. Kwa maantiki hiyo mtoto ana Haki ya kupata hayo kutoka kwa mzazi/mlezi bila upendeleo wala masharti kwa sababu ni maagizo.
Lakini Duniani kote hakuna Haki bila wajibu. Katika hayo yote,kanuni hiyohiyo imempa mtoto wajibu wa KUWAHESHIMU WAZAZI/WALEZI na KUWATII. Kwenye hili Mungu aliweka mkazo zaidi akaweka ktk Amri zake kumi.
Ile Amri ya nne inaagiza watoto KUWAHESHIMU WAZAZI/WALEZI. Na Mungu kwenye Amri ile akawapa na ahadi kuwa wakiwaheshimu wazazi wataishi miaka mingi na Heri Duniani. Hii ndiyo Amri pekee yenye ahadi. Tukirudi kwa marehemu,alistahili hiyo adhabu kutokana na kuvunja kanuni ya Maisha,kuvunja Sheria za Tanzania na Amri ya nne ya Mungu. Huyu hata mbinguni hawezi kwenda labda utokee muujiza!
Adhabu iendane na na kosa la mtoto, Na ilenge kumsaidia siyo kumwadhibu
Zungumza nae nini Sababu za kuchelewa , Muundie Program itakayomfanya awe anawahi nyumbani, Zungumza nae kama ashaanza kuchovywa chovywa, kiurafiki na umpe msaada katika hilo
Televisheni Na Redio Undeni programu za kufundisha malezi kwa watoto ili kusaidia Jamii
Mapigo yaendane na adhabu
Tatizo la sisi waafrika ni uelewa tu..!! Hivi unajua maana ya Amri!?? Amri popote pale haivunjwi mkuu! Yaani hata Amri tu ya mahakama ukiivunja lazima utaadhibiwa.
Unajua maana ya neno Amri!?? Huyo alikuwa na miaka 18 kama number lakini alikuwa bado yupo chini ya walezi wake. Alipaswa kuendelea kutii full stop.Alochofanya huyo shangazi ni mauaji wala hakiusiani kabisa na imani sijui wajibu au nini.Nauko kwa Mungu yeye ndiye atakayechomwa moto.Uyo binti alishafikisha umri wa mtu mzima alichotakiwa kufanya nikukaa naye chini nakuongea naye kwautulivu sio kumpiga.sasa inaonekana shangazi ana matatizo yake yamaisha hasira akaamishia kwa mwingine.Fimbo zakuonya siku zote haziwezi kukatisha uhai wa mtu.