Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Katibu wa Itikadi Uenezi na Mafunzo Mkoa wa Njombe Josaya Luoga kimesema kimesikitishwa na kitendo kilichotokea cha kupigwa kwa Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake la Chadema ( BAWACHA) Taifa Sigrada Mligo na kusema hakileti picha nzuri
Soma, Pia: Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche
Josaya amezungumza hayo Machi 27,2025 akiwa katika hospitali ya Kibena mjini Njombe alipokwenda kumjulia hali kiongozi huyo wa CHADEMA.