Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Tamko linamalizaje tatizoChama cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Katibu wa Itikadi Uenezi na Mafunzo Mkoa wa Njombe Josaya Luoga kimesema kimesikitishwa na kitendo kilichotokea cha kupigwa kwa Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake la Chadema ( BAWACHA) Taifa Sigrada Mligo na kusema hakileti picha nzuri
Josaya amezungumza hayo Machi 27,2025 akiwa katika hospitali ya Kibena mjini Njombe alipokwenda kumjulia hali kiongozi huyo wa CHADEMA.
View attachment 3284951
Wanataka sifaMtu kafakamia konyagi anadai amepigwa na wajinga wa ccm wanaingia kichwa kichwa kutetea ujinga.
Mwenzao mjumbe wa halimashauri kuu ya CCM katekwa huko hajulikani alipo mpaka leo hawajatoa hata tamko la kulaani au kuhimiza apatikane wanaenda kudandia mambo ya CHADEMA, sio utahira huo!CDM wamejitakia wenyewe. Wangemtembelea mapema na kutoa tamko yote haya yasingetokea.
Amandla...
Hivi yule CHAULA mchoraji na mchoma picha kule Kyela huyu jamaa HAKUWAHI KUPATA TAARIFA ZA KUPOTEA KWAKE?Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Katibu wa Itikadi Uenezi na Mafunzo Mkoa wa Njombe Josaya Luoga kimesema kimesikitishwa na kitendo kilichotokea cha kupigwa kwa Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake la Chadema ( BAWACHA) Taifa Sigrada Mligo na kusema hakileti picha nzuri
Soma, Pia: Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche
Josaya amezungumza hayo Machi 27,2025 akiwa katika hospitali ya Kibena mjini Njombe alipokwenda kumjulia hali kiongozi huyo wa CHADEMA.
Sasa nimeelewa hiyo connection, maana la kujiuliza ni kwamba tangu lini ccm wakawa nq huruma na chadema? Huyo dada atakua pandikizi la inzi wa kijaniChama cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Katibu wa Itikadi Uenezi na Mafunzo Mkoa wa Njombe Josaya Luoga kimesema kimesikitishwa na kitendo kilichotokea cha kupigwa kwa Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake la Chadema ( BAWACHA) Taifa Sigrada Mligo na kusema hakileti picha nzuri
Soma, Pia: Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche
Josaya amezungumza hayo Machi 27,2025 akiwa katika hospitali ya Kibena mjini Njombe alipokwenda kumjulia hali kiongozi huyo wa CHADEMA.
Yapi ,inasemekana alikunywa mapombe ,wala hajapigwa na yeyote , na kama kweli alipigwa Pf3 yake ipo wapi, inawezekana vipi utibiwe umepigwa bila Pf3CDM wamejitakia wenyewe. Wangemtembelea mapema na kutoa tamko yote haya yasingetokea.
Amandla...
Yaani leo unajilinganisha ni CCM? CDM inatakiwa kuonyesha ni bora kuliko CCM. Kuwa inajali wanachama wake. Au mpaka mtu apigwe na polisi au CCM ndio aonyeshwe kuwa anapendwa?Mwenzao mjumbe wa halimashauri kuu ya CCM katekwa huko hajulikani alipo mpaka leo hawajatoa hata tamko la kulaani au kuhimiza apatikane wanaenda kudandia mambo ya CHADEMA, sio utahira huo!