Njombe Karani wa Sensa afutwa kazi baada ya kuibiwa Kishkwambi

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
54,894
Reaction score
64,043
Mratibu wa zoezi la sensa mkoani Njombe

Amewafuta kazi makarani wawili, baada ya mmoja kuibiwa Kishkwambi, akiwa na mwenzake kwenye ulevi ulipitiliza

Pamoja na kuwafuta kazi hao, Mratibu amesema zoezi litakwenda vema japo hao wawili wameondolewa

Mambo ya ngoswe yameanza mapema kujitokeza chap chap

IMG-20220821-WA0008.jpg
 
Ah Nmecheka sana, sasa wakati mnachukua walevi walitegemea nn
 
Hiyo ndo faida ya rushwa na kujuana katika selection
Na baadoo
 
Sasa hamjanichagua Dodoso la jamii mnategemea nini ?

Mimi nimeuza kulipia siku mlizonikalisha idle
 
Ni iPad au Mchina?

Nani akununulie Ipad? Ipad ni gharama sana kama ilivyo kaa simu shirika za Iphone! Wamenunuliwa gadgets za kampuni nyingine tu kama samsung na tablets za makampuni ya kawaida. Ipad zinatoka kampuni ya kimarekani ya Apple. Anyway nimekuelewa, maana watu wakiona mtu ameshika tablet yoyote ile hukimbilia kuita ipad hata kama ni tablet ya samsung!
 
Wanatumia za ZTE
 
aliyekwambia pads za samsung ni bei chee nani??
pads za huawei,pixels,samsung,huwezi kununua kwa ajiri ya sensa,kama za apple zimekutoa kamasi.

wamechukua matakataka fulani ambayo sokoni hata elfu 70 hayauziki.ingawa naskia yamenunuliwa 900k kila moja.
 
Back
Top Bottom