GE2025 Njombe kumekucha wajumbe wapo tayari kwa uchaguzi

GE2025 Njombe kumekucha wajumbe wapo tayari kwa uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Wajumbe na mabalozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Njombe Mjini wakiwa tayari kwa ajili ya kupiga kura za maoni kuchagua diwani wa Kata ya Njombe Mjini na Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini.

Leo Jumatatu Agosti 4, 2025 wajumbe wa CCM wanapiga kura za maoni kuwachagua wabunge na madiwani.
1754290858987.jpeg

Chanzo: Mwanachi​
 
Leta na matokeo mkuu tuanze jua bunge letu mapema maana chadema ndo wangesumbua Sasa hawapo
 
Back
Top Bottom