Usingizi wa madereva, yanatembea usiku kucha, madereva wana mchepuko njia nzima, balaa balaa tu haya maloryIlivyoonekana lori lilihama lane likaifuata coaster na kuichota mpaka imegeukia ilikotoka
Nimeona link ya video inayoonesha chanzo cha ajali, dereva wa coaster ndio alikuwa mzembe[emoji116][emoji116][emoji116]
https://www.facebook.com/
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
njingi ni left handSpecialised Hauliers, hawa jamaa nikiwa safari ndefu napishana nao kwa adabu sana.
Na kama kumuovertake simpiti mpaka nihakikishe nimepigia honi za kutosha na kumwashia full light
Tazama zipo coaster mbili, coaster ya mbele alitoka nje ya lane ikaenda porini kujinusuru, hiyo ya pili ikavaana na lori, hayo mabasi yalikuwa kama manne kwenye msafara mmojaNimeona link ya video inayoonesha chanzo cha ajali, dereva wa coaster ndio alikuwa mzembe[emoji116][emoji116][emoji116]
https://www.facebook.com/
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Hao watoa leseni wanakuambia kadi haiendeshi gari, tatizo ni tabiaHizi leseni za madereva wa magari ya abiria na mizigo ziwe na kitengo maalum kwenye utoaji wake na ziwe renewed kila miaka miwili... Madereva makosa yote ya kizembe wanyang'anywe leseni na kupigwa kabisa ban yakutogusa magari..
Tazama zipo coaster mbili zilikuwa kwenye msafara mmoja coaster iliyotangulia ilikoswakoswa ikaingia porini, hiyo ya pili ndiyo ikapigwa na lori, hiyo sehemu barabara ina mawimbi sanaDereva wa Coaster inaonekana kaovertake kifalafala hapo kwa kutoa nzima nzima,
Tunarudi pale pale njia zetu bado finyu sana tena single way hizi zapaswa kuwa njia za mitaa siyo za kupita magari yanayosafiri kms nyingiIlivyoonekana lori lilihama lane likaifuata coaster na kuichota mpaka imegeukia ilikotoka
HAPANA COASTER ILIKUWA INAOVERTAKE BILA TAHADHALI IKAGONGA LORIIlivyoonekana lori lilihama lane likaifuata coaster na kuichota mpaka imegeukia ilikotoka
Ajali haina mipaka, hata kwenda sokoni tu chochote kinaweza tokeaSijui niache kusafiri kwenda Katesh...
Sio kweli.Ajali haina mipaka, hata kwenda sokoni tu chochote kinaweza tokea
Hiyo ni hofu ndio maana nikakupa tu mfano wa safari ya hapo hapo, kwa nini hujaziacha kwa kuhofia ajaliSio kweli.
Mbona tangu mwaka 2022 uanze, nishaenda sokoni zaidi ya mara 200 na sijawahi pata ajali yoyote.
Sasa assume ningesafiri mara 200 kutoka Dar kwenda Katesh Manyara kwa mwaka mzima. Si ningekua ⚰️ leo!
Wenye Mungu ingieni kwenye maombi.Ajali mbaya imetokea jioni ya leo 24.04.2022 majira ya saa 11.30+ ikihusisha coaster na lori la makaa ya mawe, watu kadhaa wanatajwa kupoteza maisha, taarifa zaidi zitatolewa na mamlaka husika.
====
Zaidi ya Watu watatu wanahofiwa kufariki baada ya gari aina ya coster iliyobeba vijana wa kwaya ya vijana wakatoliki wa Njombe (UVIKANJO) ambao walikwenda kutembelea watoto yatima katika kituo cha Ibumila kugongana uso kwa uso na gari ya makaa ya mawe iliyoacha njia na kuigonga coster hiyo katika eneo la Igima.
Kuna majeruhi ambao idadi yao bado haijajulikana.
====
Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema hadi leo tarehe 25.04.2022 idadi ya waliofariki kutokana ajali ya jana vimefikia nane (8). Mwenyezi Mungu awarehemu wapumzike kwa amani
View attachment 2199179
View attachment 2199180
View attachment 2199182
View attachment 2199279View attachment 2199503View attachment 2199504