Njombe - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

Njombe - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

what do you expect from embecile citizens especially from southern part of Tanzania
jimbo la lupembe,Hongoli from ccm
Njombe kusini,-Mwalongo-ccm
njombe kaskazin,deo sanga-ccm
wangingombe,ccm
 
what do you expect from embecile citizens especially from southern part of Tanzania
jimbo la lupembe,Hongoli from ccm
Njombe kusini,-Mwalongo-ccm
njombe kaskazin,deo sanga-ccm
wangingombe,ccm
 
Makambako Ccm Wameongoza Ubunge Na Udiwani,
CDM Wamepata Madiwani Wanne,
Ila Kunautata Juu Ya Ubunge
 
Mbunge msomi aliyebobea katika uhandisi,Eng.Gerson Lwenge amefanikiwa kulitetea jimbo la WANGING'OMBE ambako kwa kipindi cha miaka mitano iliopita aliweza kulibadilisha jimbo kwa kasi ya maendeleo ikiwa na kuharakisha mitandao iliyo bora ya barabara ndani ya wilaya mpya ya WANGING'OMBE

Nimatumani ataendeleza kasi ileile ya kuwatumikia wananchi wa WANGING'OMBE ili kuiweka katika huduma bora zaidi katika sekta zote za kiafya,kielimu,kiuchumi nk.

Kauli mbiu yetu ni #HapaKaziTu:llama:
 
Kuna mikoa mingine hadi mnaudhi. hivi huko hakuna watu wanaotumia Jamii Forum?
 
Du,yaani Majimbo yote ni CCM??Ngoja nirudi huko home kutoa elimu!!
 
Du,yaani Majimbo yote ni CCM??Ngoja nirudi huko home kutoa elimu!!

Mkuu we acha tu nilikwepo Jimbo la Lupembe toka October Mwanzoni,nimezunguka sehemu mbalimbali ila wale wananchi wa vijijini wazee na akina mama ni watu wagumu mno,pia vijana wanaotokea mazingira ambayo hayana exposure kwa kweli wanaishi Sayari nyingine haeajui.nini kinaendelea.Niliweza kuwabadili kitongoji ninachotokea kituo hicho Kuanzia Diwani Mpaka Rais alishinda upinzani.Lakini vitongoji vingine na vijiji vingine.ni.shida.
Mgombea wa Lupembe alikuwa kajihakikishia kushinda lakini juma la mwisho la kampeni hasa zile siku tatu ziliamua nani awe mbunge.Elfu moja moja zinawaponza wanalupembe,hasa wale wa Pembezoni
 
Back
Top Bottom