what do you expect from embecile citizens especially from southern part of Tanzania
jimbo la lupembe,Hongoli from ccm
Njombe kusini,-Mwalongo-ccm
njombe kaskazin,deo sanga-ccm
wangingombe,ccm
what do you expect from embecile citizens especially from southern part of Tanzania jimbo la lupembe,Hongoli from ccm Njombe kusini,-Mwalongo-ccm njombe kaskazin,deo sanga-ccm wangingombe,ccm
Mbunge msomi aliyebobea katika uhandisi,Eng.Gerson Lwenge amefanikiwa kulitetea jimbo la WANGING'OMBE ambako kwa kipindi cha miaka mitano iliopita aliweza kulibadilisha jimbo kwa kasi ya maendeleo ikiwa na kuharakisha mitandao iliyo bora ya barabara ndani ya wilaya mpya ya WANGING'OMBE
Nimatumani ataendeleza kasi ileile ya kuwatumikia wananchi wa WANGING'OMBE ili kuiweka katika huduma bora zaidi katika sekta zote za kiafya,kielimu,kiuchumi nk.
Mkuu we acha tu nilikwepo Jimbo la Lupembe toka October Mwanzoni,nimezunguka sehemu mbalimbali ila wale wananchi wa vijijini wazee na akina mama ni watu wagumu mno,pia vijana wanaotokea mazingira ambayo hayana exposure kwa kweli wanaishi Sayari nyingine haeajui.nini kinaendelea.Niliweza kuwabadili kitongoji ninachotokea kituo hicho Kuanzia Diwani Mpaka Rais alishinda upinzani.Lakini vitongoji vingine na vijiji vingine.ni.shida.
Mgombea wa Lupembe alikuwa kajihakikishia kushinda lakini juma la mwisho la kampeni hasa zile siku tatu ziliamua nani awe mbunge.Elfu moja moja zinawaponza wanalupembe,hasa wale wa Pembezoni