Njombe: Mfungwa apora Bunduki kwa Askari na kumpiga kaka yake kwa kushindwa kumtoa Gerezani na kuuza mashamba ya familia

Inawezekana hao ni mtu na kaka yake lakini sio baba mmoja, wanatumia jina la ukoo ( mfano mmoja ni mtoto wa baba mkubwa, na mwingine ni mtoto wa baba mdogo)
 
aisee 61 kwa 24 mtu na kaka ake mimi na 24 baba angu ana 58
 
Huyo askari mpaka anaporwa hiyo silaha yeye alikuwa kalewa au
...Si ajabu alikuwa kasinzia, kama tunavyowaonaga askari wa Lindo wakiwa wamesinzia huku wakiwa wameshika Silaha! Ni hatari tupu....
 
....Aliiba silaha halafu akamshambulia Askari na Panga...???
 
Askal mmoja analinda magerezaa 10 hatari hii
 
Walitulia hawa Wahehe, Wabena, na Wakinga mpaka mbwa walijazana mjini. Tuone sasa mambo yatakuwaje baada ya hili tukio maana hawa jamaa wana tabia ya kushindana vituko, kila mmoja anataka kabila lake lijulikane kuwa ni la hasara au wapenda vituko. Leo kaja huyu jamaa kuua, kesho atakuja msela mwingine kutaka kumzidi mwenzake kwa tukio jingine, utasikia tu mtu kafila kifaranga cha kuku hadharani au amakutwa kajinyonga baada ya kurudi nyumbani bila kukuta chai na viazi vitamu. Jamani Wahehe, Wabena na Wakinga, mnakosea wapi nyie watu?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…