Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Wivu wivu wivu wa mapenzi unazidi kutoa roho za watu wengi waliopo kwenye mahusiano ya kimapenzi jamani.
=====================
Jeshi la Polisi mkoani Njombe linamshikilia Castory Abusalam Kindole mwenye umri wa miaka 48 mkazi wa Kijiji cha Idindilimunyo wilayani Wanging’ombe kwa tuhuma za mauaji ya mke wake Sifa Lusemwa (37) kwa wivu wa mapenzi.
Akithibitisha kushikiliwa mtuhumiwa huyo, Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga amesema marehemu Sifa alikutwa ameuawa nyumbani kwake kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali shingoni na kufariki dunia.
Soma Pia: Mbozi: Mke amuua Mume Wake akishirikiana na Mchepuko