B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Feb 9, 2021 #1 Mabibi na mabwana ilikuwa Dar sasa wanawake na wanaume wa huko Njombe nao wameona isiwe taabu: Your browser is not able to display this video. Kwa mabarakoa hayo bila shaka hizo siyo jitihada ya kujikinga dhidi ya TB mikutanoni. Pana watu kwenye mamlaka ambao kwa hakika wasipo angalia watambue kuwa si muda mrefu umebakia watapwelewa. Beberu alinena kistaarabu: "time and tide wait for nobody." Waswahili nao wakasema, "kutakucha tu hata kama jogoo mmoja mwenye nguvu mno atasusia kuwika." Hongereni Njombe
Mabibi na mabwana ilikuwa Dar sasa wanawake na wanaume wa huko Njombe nao wameona isiwe taabu: Your browser is not able to display this video. Kwa mabarakoa hayo bila shaka hizo siyo jitihada ya kujikinga dhidi ya TB mikutanoni. Pana watu kwenye mamlaka ambao kwa hakika wasipo angalia watambue kuwa si muda mrefu umebakia watapwelewa. Beberu alinena kistaarabu: "time and tide wait for nobody." Waswahili nao wakasema, "kutakucha tu hata kama jogoo mmoja mwenye nguvu mno atasusia kuwika." Hongereni Njombe
Mokaze JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 14,370 Reaction score 14,929 Feb 9, 2021 #2 Hakuna haja ya kusubiri kauli kutoka juu mtu unajiongeza wewe mwenyewe tu. Ukifa nani atatunza watoto wako?
Hakuna haja ya kusubiri kauli kutoka juu mtu unajiongeza wewe mwenyewe tu. Ukifa nani atatunza watoto wako?
G goodluck5 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 7,092 Reaction score 11,613 Feb 9, 2021 #3 JMT, serikali pekee inayowadanganya wananchi wake duniani!!!.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,790 Reaction score 288,165 Feb 9, 2021 #4 Kule Tanga wanasema “Wamemzereu” Mokaze said: Hakuna haja ya kusubiri kauli kutoka juu mtu unajiongeza wewe mwenyewe tu. Ukifa nani atatunza watoto wako??? Click to expand...
Kule Tanga wanasema “Wamemzereu” Mokaze said: Hakuna haja ya kusubiri kauli kutoka juu mtu unajiongeza wewe mwenyewe tu. Ukifa nani atatunza watoto wako??? Click to expand...