Njombe nako kama Dar kunaeleweka

Njombe nako kama Dar kunaeleweka

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Mabibi na mabwana ilikuwa Dar sasa wanawake na wanaume wa huko Njombe nao wameona isiwe taabu:



Kwa mabarakoa hayo bila shaka hizo siyo jitihada ya kujikinga dhidi ya TB mikutanoni.

Pana watu kwenye mamlaka ambao kwa hakika wasipo angalia watambue kuwa si muda mrefu umebakia watapwelewa.

Beberu alinena kistaarabu: "time and tide wait for nobody."

Waswahili nao wakasema, "kutakucha tu hata kama jogoo mmoja mwenye nguvu mno atasusia kuwika."

Hongereni Njombe
 
Hakuna haja ya kusubiri kauli kutoka juu mtu unajiongeza wewe mwenyewe tu. Ukifa nani atatunza watoto wako?
 
Back
Top Bottom