Njombe Tunaongoza kwa UKIMWI

Njombe Tunaongoza kwa UKIMWI

-Kinachoshangaza ni jambo ambalo hata halishtui wakazi; foleni ya familia, baba, mama na watoto kwenda kukusanya ARVs.

Tunaombeni msaada kwa hii jamii.

Hao unaosema wanapanga foleni wanafanya kazi na kuongeza pato kubwa sana la taifa kuliko wewe unayeshinda na simu jf. Vijana ukimwi upo na hakuna asiyefahamu hilo ndio maana sasa hivi tunapambana na unyanyapaa ili kupunguza new infections. Watu kama nyie mnaturudisha nyuma sana na unyanyapaa wenu. Sijaona cha maana ulichoandika hapa zaidi ya kuonesha upumbavu ulionao. Mimi kuna watu nawafahamu ni waathirika lakini wanajitambua na kuendesha miradi yao ambayo wameajiri na watu wengine. Hakuna mtu asiyekuwa na taarifa kuhusu maambukizi, athari na kujikinga na huu ugonjwa lakini mambo yanakwenda kama yalivyo. Pigana kuondoa unyanyapaa ili kupunguza maambukizi mapya!!!
 
Hakuna unyanyapaa, kama UKIMWI ni sawa na mafua basi hakikisha na ndugu zako wanapata ili watumie hizo ARV feki.
Elezea kidogo maana ya kushinda JF na utaalamu wako wa kujua kazi za watu kwa kupitia JF
 
I have my relative too amejitambua na kujikubali na tunampa support ya kisaikolojia ili asijione mpweke. Anatengeneza millions of money kwenye miradi yake na anatoa material support ya kutosha kwenye familia. Mi nakushangaa wewe unayeshangaa watu kupanga foleni kuchukua dawa wakati tatizo lina miongo miwili!!! It pains lakini hata ukisikitika si tayari mtu anao?
 
Kwaiyo Apo Tu Ndo Unaona Ndo Pana Ukimwi? Acha Kujidanganya Mkuu Ukimwi Upo Kila Kona Apa Tz So Hakuna Afathali Wala Nini
 
Back
Top Bottom