Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
-Kinachoshangaza ni jambo ambalo hata halishtui wakazi; foleni ya familia, baba, mama na watoto kwenda kukusanya ARVs.
Tunaombeni msaada kwa hii jamii.
Hao unaosema wanapanga foleni wanafanya kazi na kuongeza pato kubwa sana la taifa kuliko wewe unayeshinda na simu jf. Vijana ukimwi upo na hakuna asiyefahamu hilo ndio maana sasa hivi tunapambana na unyanyapaa ili kupunguza new infections. Watu kama nyie mnaturudisha nyuma sana na unyanyapaa wenu. Sijaona cha maana ulichoandika hapa zaidi ya kuonesha upumbavu ulionao. Mimi kuna watu nawafahamu ni waathirika lakini wanajitambua na kuendesha miradi yao ambayo wameajiri na watu wengine. Hakuna mtu asiyekuwa na taarifa kuhusu maambukizi, athari na kujikinga na huu ugonjwa lakini mambo yanakwenda kama yalivyo. Pigana kuondoa unyanyapaa ili kupunguza maambukizi mapya!!!
Hakuna unyanyapaa, kama UKIMWI ni sawa na mafua basi hakikisha na ndugu zako wanapata ili watumie hizo ARV feki.
Elezea kidogo maana ya kushinda JF na utaalamu wako wa kujua kazi za watu kwa kupitia JF
Mleta mada amefuta post yake ya kwanza