Njombe: Viongozi wa CHADEMA pamoja na dalali wa mbao wakamatwa kwa kuhusishwa na mauaji ya Kada wa CCM Emmanuel Mlelwa

Ningefurahi kama weledi kama huu au robo ya huu ingetumika kunasa wauaji wa Ben saanane kwa sababu simu na mawasiliano ya mwisho yalipatikana, Na kina Ally Happy na Daudi Bashit simu zao zilipatikana katika mtandao wa watekaji wa BEN.
 
Hata Deo akishinda, nadhani ushindi wake utatenguliwa mahakamani kirahisi kwa sababu hana sifa ya kugombea ubunge in the first place.
Hapo ndipo watu wanapomshangaa Magufuli na uongo wa kupinga ufisadi
 
Inashangaza sana
 
Ikiwa watu wasiojulikana wameuweka mkanda wa marehemu kwenye gari makusudi ili watimize lengo lao.

Chochote chawezekana.
 
Hivi chadema wanaishi mbiguni na CCM wanaishi duniani? Hapo mtafanya wananchi wanaojua kuhoji Kuna watu wasiamini hata kupewa Kura Sasa chadema ni watu na CCM ni watu hivyo ni ndugu, wameoleana na nimarafiki pia, sipendi siasa za hivyo kwanini Polepole aje aseme kwenye vyombo vya habari kwamba aliyeua ni chadema na kesi ichukuliwe hivyo?

Na kwanini hakuacha uchunguzi ufanyike? Isije kuwa kuna watu wanaua wenzao ili kupata wanachotaka kupata kweli imebeba hasira na mtu unajifanya kuhuzunika hiyo siyo haki tena utakuta hata ndugu wanajua urafiki Au undugu wao.
 
eti mkanda wa marehemu umekutwa kwenye gari,inamaana mwenye gari ni kipofu hakuuona Siku zote
VIP waliomteka dewiji ?,bado hamjawapata

Sent from my itel A11 using JamiiForums mobile app
 
CHADEMA ikichukua nchi oktoba 28 italifuta jeshi la polisi , huu ujinga wa kuwanunua wagombea udiwani ulipangwa na kwamba wakikataa watapewa kesi yoyote , na hii imevuja tangu wiki 2 zilizopita eti leo ndio inatekelezwa ! Poor Polisi
Hilo halipo mkuu, huo ndiyo ukweli mchungu.
 
Hata muuaji anaweza kukwambia umpgie adui yako simu ili akuue bila ushahidi hapo haki itendeke.
 
Kiongozi wenu amekiri kuwasiliana nae, amekiri mmoja wa kiongozi mwenzie aliwateka, na wakiwa pamoja mauaji kutendeka kwa kumtumia mr. Xy Goodlucky. Mlitaka jeshi la polisi liwasaidiaje zaidi ya kuwashikiria?
 
Nilijua Tu washukiwa watakuwa chadema yan siasa zetu jaman ila wakiuwawa wa chadema utasikia watu wasiojulikana
 
Serikali iwe macho na hili genge. Vikundi vya uasi vinaanzaga hivi hivi.
 
CHADEMA ikichukua nchi oktoba 28 italifuta jeshi la polisi , huu ujinga wa kuwanunua wagombea udiwani ulipangwa na kwamba wakikataa watapewa kesi yoyote , na hii imevuja tangu wiki 2 zilizopita eti leo ndio inatekelezwa ! Poor Polisi
Chadema saccos mchukue nchi ipi?. Hiko chama kama genge la wahuni, nani asiyejua uozo ulioko kule?. Bila shaka, chacha wangwe, saanane mtakuwa mnahusika. Oct 28,mtakula jeuri yenu.
 
Hivi katika ulimwengu wa sasa kuna mkanda wa mtu specific kweli. Mbona wamasai wanatutengenezea mikanda inayofanana. Lisiwe shinikizo la kale kazee kakijana ka juz
Sasa mkuu vitu kama hivyo si vina pimwa, finger print.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…