Njombe: Viongozi wa CHADEMA pamoja na dalali wa mbao wakamatwa kwa kuhusishwa na mauaji ya Kada wa CCM Emmanuel Mlelwa

Watawakamata lakini sheria haitawafunga! Aliuwawa Mawazo hakuna mwanaCCM aliyekamatwa hata mmoja! Alishambuliwa mwanasheria mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu, hakuna mwanaCCM aliyekamatwa hata mmoja! Alitekwa na kutoweka msaidizi wa Mbowe, hadi leo hakuna mwanaccm aliyekamatwa hata mmoja! Alishambuliwa na kuvunjwa mguu Mwenyekiti taifa wa CHADEMA Freeman Mbowe, lakn mpaka leo hakuna aliyetuhumiwa hata mmoja achilia mbali kukamatwa! Hivyo kama kweli waliokamatwa kwa tukio hilo ndio hasa wahusika, basi nashawishika kusema kumbe wahalifu huwa wanajulikana lakini kukamatwa inategemea unavaa khaki au kijani! Therefore Penye CHADEMA weka CCM, penye CCM weka CHADEMA!
 
Nyie endeleeni kupiga domo huku jf wakat wenzenu ndo bye bye hivoo....

na hiyo gari waitaifishe tuu .....mijitu inakua mipumbavu mikatili minyumbu inakaa uraiani ili iweje?
 
Police wabongo hawana tofauti na wale wa kwenye bongo movie

SUBIRI KIDOGO
 
Tuleteeni huo mkanda sumbawanga huku na wahalifu muwatoe nje wote mbivu na mbichi itajulikana kuhusu muuaji wa marehemu.

Kukiwa kwa moto mtasema yote wenyewe.Hatukupeleki polisi tutakuacha tu ila utaimba majuto.
Watu wanaonewa mno kwa kuwa ukweli unafichwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polisi fanyeni kazi yenu ila hapo Kuna walakini huyo kada wa CCM alikuwa anang'ata huku then anapuliza kule sasa kwa kawaida ya CCM wakishakujua kuwa wewe ni msaliti lazima wakuuwe ila hapo ukatengenezwa ushahid fake wa kufanya mawasiliano kabla ya mauwaji kufanyika na ikiwa nikiwasiliana na hao makada wa CDM logic ndogo ni kwamba pengne alitekwa halaf wakasema ili tusikuuwe tunaomba umpgie fulani na Fulani waje sehem fulan ko kivyovyote vile akifa mawasiliano yataonesha mtu wa kuwasiliana nae then huyo ndo mtuhumiwa namba moja hii Kama imetengenezwa haya kuhc mkanda wauwaji wanaweza wakaweka mkanda kwenye gari then wakatoa taarifa kwa polis ko kila kitu kinawezekana
 
Rais wao Chadema angeamuru wote wangekamatwa, bahati mbaya hawana rais.
 
Umbambike kesi diwani ili iweje?
Ili mgombea wa CCM apite bila kupingwa mbinu inayotumika ngazi zote toka tupate Uhuru tumeona Fomu ya kutia nia ya kugombea inachapishwa moja tu ili kusiwe na mpinzani na hivi mgombea mmoja anahojiwa badala ya kuwa kwenye kampeni kama mpinzani wake. Kila mbinu chafu inatumika ili wagombea hovyo wa Chama hicho wapite kwa kishindo ili wadanganye ulimwengu kuwa wanakubalika wanasitahili kuongoza nchi milele. Hizi mbinu zinatumika dhidi ya Chama kimoja tu cha CHADEMA kati ya Vyama 19 vilivyosajiliwa kwa sababu ndo chenye wanachama mahili na wakati wa Uchaguzi ndo kinawapatia ushindani mkali kutishia kuendelea kwao kuongoza. Kuna matukio mengi ya kijinai yamejiri Awamu hii kama vile watu kutekwa, kupotea, kuuawa, kujeruhi kwa risasi na maiti kuokotwa bila Polisi kujihusisha kwa namna yoyote ile hata tu kuonyesha wapo na wanajali lakini kuokotwa maiti ya mwanachama wa Chama Tawala wagombea wanne wa Upinzani wamekamatwa. Hata kwa sisi tusiyo Polisi haingii akilini wauaji wakijua watakuwa watuhumiwa namba moja wanavua mkanda wa marehemu na kuuacha ndani ya gari yao iliyotumika kwenye mauaji. Kama watu wanabambikiziwa kesi itashangaza kama watu hawawezi kubambikiziwa ushahidi (exhibit)!
 
Wewe ni lipumbavu kabisa. Did you understand my writing? Pumbavu kazi kukurupuka tu. Mbweha mkubwa!.

Tena upumbavu wako si mwisho wako.
Malaika Raguel hana upande. Kama wewe uko upande wa uharifu, utaona atakachokufanya!. Linda akili zako. Pumbavu!.
 
CHADEMA ikichukua nchi oktoba 28 italifuta jeshi la polisi , huu ujinga wa kuwanunua wagombea udiwani ulipangwa na kwamba wakikataa watapewa kesi yoyote , na hii imevuja tangu wiki 2 zilizopita eti leo ndio inatekelezwa ! Poor Polisi

Hilo linawezekana. Niliwahi kusikia kuwa Singapore hakunaga polisi.
 
Kasaidie kwa ushahidi. Na huo ndio Uzalendo na Uraia mwema maana inaonekana unajua mengi kweli hili.
 
H
Hongeren vyombo vya ulinzi na usalama wa raia. Mkumbuke kuwakamata na wale waliomuua Daud Mwangosi. Kazi yenu ni njema sana
 
Tuweke jina alilotaja.
Halafu anaongea na vyombo vya habari, kwanini asiende polisi?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Sawa sawa mkuu.....Omba yasikukute wewe au ndudu yako. Kumbuka maendeleo yana vyama lkn udikteta hauna chama wala mtu. Kawaulize kina nape, makamba, membe, mangula, na kinana watakwambia na kukusaidia ww buku 7 ili akili zikufunguke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…