Njoo chukua hii xTaril kwa Tsh8.8M

Njoo chukua hii xTaril kwa Tsh8.8M

Mimi huwa naamin HAMNAGA gari bovu... Ni matumizi yako tu nimewahi tumia Noah voxy ambazo zinasemwa Sana maana Noah voxy na Nissan xtrail ni mtu na Dada kwa kusemwa vibaya

Lakini nilicho kuja kugundua kwenye Noah voxy gari ile haiitaji usumbufu kabisa katika service na Kama ukijisahau kujaza maji ya rejeta alafu unasafari ya mbali nakuambia lazima gari irudi ikiwa imebebwa kwenye crane

PIA Noah voxy ni gari iliyo Tulia Sana hata ukiwa unapita rough roads na pili mimi napenda Sana body lake lilivyo MIN VAN BODY fulani hivi iliyo kaa ki luxury haaitaji usumbufu kabisa ile gari tena ukiwa na familia inabeba wote maana ni seven seats labda kama unawatoto thelathini ndio haiwezi beba wote.

Point ni Hii Nissan Xtrail Ni Gari Nzuri ya kununua hasa Ukiikuta Kwa Mtu Alie kuwa mtunzaji utaipenda.
 
Back
Top Bottom