Njoo hapa ujibu kwa dharau

Bora umepata, nilikua nawaza namna ya kukuacha nashindwa
 
Huna lolote! nakuona kama mkasi tuu kujifanya kukata mbele huku nyuma unatiwa madole...(imejipost jamani[emoji3])
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
 
Ukiachana na hayo mahusiano yako unahisi mahusiano gani yatavunjika kabla ya saba saba
 
Matusi yote hayo ni hasira ya kuachwa tu eti
 
Nyoo! Zunguka huko ukafanye umalaya wako. Ukimaliza kuchezewa na kuumizwa, urudi nikuzalishe utulie!
Mambo ndio yako hivyohivyo wanawake wengi ndio maana mimi sipendi single mothers maana yanawakuta wakiwa ktk harakati za tamaa za hapa na pale. Akisharudi unamtindua tu na mimba juu then unampotezea unavuta kigoli kingine. Yamewakuta karobu wote.
 
Baby mie hua siachwi...hongera kwa kumpata ,ila ntakuacha nikiamua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…