Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji134][emoji134][emoji134]hamna nomaahBora umepata, nilikua nawaza namna ya kukuacha nashindwa
[emoji134][emoji134][emoji134]hamna nomaah
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]Huna lolote! nakuona kama mkasi tuu kujifanya kukata mbele huku nyuma unatiwa madole...(imejipost jamani[emoji3])
[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani ukiniacha kwa nyodo ntakurushia jiwe hasi ujione hufai
[emoji23][emoji23][emoji23]
Earphone ,mziki mkali..mimi yuleeee.Baby, nimempata mchumba mwingine mwenye sifa kuliko wewe.
View attachment 1120838
Hahaaa mizigo mikali adimuuJapo karoho kataniuma lkn ntajifariji na dongo zito au naopoa mzigo mkali zaidi[emoji23]
Hahaaa mizigo mikali adimuu
Mkuu huu mgonganoBora uende maana hata mimi nilikuwa nawaza nitakuachaje
Bora umepata, nilikua nawaza namna ya kukuacha nashindwa
Baby, nimempata mchumba mwingine mwenye sifa kuliko wewe.
View attachment 1120838
Mambo ndio yako hivyohivyo wanawake wengi ndio maana mimi sipendi single mothers maana yanawakuta wakiwa ktk harakati za tamaa za hapa na pale. Akisharudi unamtindua tu na mimba juu then unampotezea unavuta kigoli kingine. Yamewakuta karobu wote.Nyoo! Zunguka huko ukafanye umalaya wako. Ukimaliza kuchezewa na kuumizwa, urudi nikuzalishe utulie!