mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Uache uvulana sasa umekuwa mwanaume usifikir bado mtoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
walaaa nmeshangaa tu umepotea ghaflaAhahhaha
Umejuaje vizuri unanifahamu hivi ule upande wa kule nimekula block eenh
Mmh nimepotejeaje sasa ghafla bila kupotezwa na muhusikawalaaa nmeshangaa tu umepotea ghafla
Dah nisamehe sana mkuuPost zako nyingi hazina maana.
Mimi kiukweli nikifungua thread nikakuta post ni yako huwa siisomi kabisa nafungua nyingine.
Kuna mwenzio nae akipost nikifungua nikakuta kapost yeye sisomi.
Tatizo mnaandika vitu visivyo na maana halafu kila siku nyie ni wa visa na mikasa.
At least umeanza kujitambua na hongera kwa hilo.
ha ha ha mie huyo nikupoteze, hakuna blocku hata kidogo embu chek vzur utaona nilipoMmh nimepotejeaje sasa ghafla bila kupotezwa na muhusika
Ahahahh kila nikichungulia nakutana na kivuli nikasema niheme sasa naona block imenihusu
Hilo ni jambo jema kama umeamua mwenyewe kubadilika hongera sana.Nataka kuwa mwema kama wewe bro
Alafu siku hiz hata hunishaur kama zaman
Ahahahh ndio nimeshangaa unanipotezaje kile kivuli kinaniogopesha sana na hamu ya kuja kukusalimia nikija nikikikuta tu narudi zanguha ha ha mie huyo nikupoteze, hakuna blocku hata kidogo embu chek vzur utaona nilipo