UONGO UONGO UONGO ACHASifanyag kabisa hayo mambo mkuu
Kwenye uchawi namimi nitag akijibuEndelea kupost manyuzi yako. Nayapendaga sana.Halafu,nataka unifunze uchawi.
Bora umesema kwakweli, yaani imekuwa too much. Ukiingia tu jf unakutana na thread zake rundo, kila tukio linamtokea yeye tu humu duniani chaah!!! Yaani mpaka anachosha.Thread zako zisizokuwa na kichwa wala miguu ni za hovyooo ebu badirika au ni utoto labda ukikua utaacha