“Njoo Kesho” kwenye Taasisi za umma ni Kidonda Ndugu

realMamy

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
3,925
Reaction score
8,853
Ifike mahali hiki kitu kikomeshwe mara moja.

Baadhi ya watumishi kwenye Taasisi za umma ni kero na hawana adabu hata kidogo.

Kuna baadhi ya Taasisi za umma ziko maeneo ya Mkoani au mjini kabisa mtu anatoka zake madongo kuinama anatumia nauli kubwa anafika hapo ili ahudumiwe lakini cha achabu atacheleweshewa huduma kisa tu uvivu au kiburi cha mtu.Hajali umri wala afya ya mtu.

Atajichelewesha wee halafu utasikia Kuna kitu sikioni au kimeisha “ Njoo Kesho”.

Mara kuna Document sizioni.

Kama ni hivyo tunaomba mtoe nauli kwa watu mnaowaambia waje kesho.

Mtoe nauli kabisa kwa sababu hamjui uchungu wa mtu kupoteza pesa zake kufuata mjini kitu kidogo tu.

Arudi kijijini kesho aje tena we ungeweza?

Kinachowashinda kushughulikia kero za wananchi kwa haraka ni kitu gani na mnalipwa kodi za wananchi? Na ndio maana watu hawafanikiwi kisa laana za watu.

Mbona kitu hicho hicho kwenye taasisi Binafsi ni chap tu nyie mnashindwa nini?

Na huku kwenda kula jamani? Mnaendaga kula nini muda wote huo? Mmewakalisha watu nje kisa kujivuta tu.
Halafu baada ya masaa yote “Njoo Kesho”

Serikali mbali na kujikita kwenye maendeleo ya vitu vikubwa hivi vidogo pia ni vikwazo vikubwa vifanyieni kazi.

Madhara ya kumpotezea mtu muda.

Kwanza ameshindwa kufanya shughuli za uzalishaji nyumbani ambazo zingeingiza pato kwake na kwa serikali.

Pili kumpatia mtu msongo wa mawazo na kumkatisha tamaa.

Kila ukikutana na watu waliofika kwenye taasisi za umma kushughulikiwa jambo lolote hawana nuru usoni.
Kila wakati ni kunyanyuka na kukaa.
Boss anajipitisha tu na suti yake anaingia anatoka.

Njoo kesho! Njoo kesho! Acheni fanyeni kazi.
 
Hilo ndio chimbuko la neno 'Rushwa' lilipoanzia.

Unarushwa katika kuhudumiwa Hadi Siku nyingine inayofuata ili kusudi ujiongeze na utoe kitu kidogo
 
na majibu yetu muwe mnatupatia siku hiyohiyo ,hakuna anayependa kusubiria
to yeye,ephen,faizerfox
 
muwe mnatembea hata na 10k au 15k kupunguza usumbufu mda mwingine,.. Maana nchi yetu hii bila rushwa huwezi kufanya jambo lako kwa wakati
 
Kuna ofisi ya umma nilienda kupata document fulani, ilikuwa inahitajika kesho yake kwenye mambo yangu, secretary akaniambia njoo wiki ijayo.

Nikatoka nje nikarudi nimekunja mkono, nikanyoosha mkono nikasema "dada nisaidie" akapokea elfu tano, haikupita dakika kumi nikapewa document yangu. Haya mambo usipoyajua unaweza kupoteza muda mwingi kwenye maofisi ya watu.
 
Back
Top Bottom