Babu usiwashauri waoe huko, watoto wao watakuwa na roho ya korosho kama Babu yao yule...Hivi wewe una undugu na Baba Swalehe ??
Mbona naona kama mna DNA zinazo match?
Nawashauri muoe mabinti wa Chattle ili nyota ya ukuu wa wilaya iwaangukie
Amina
Haka kapicha kazuri kwa matumizi yangu binafsiMm nakufahamu nakumbuka tulivyokula wote kuku pale maeneo ya DODOMA tukapanda zetu li vix la serikali mpaka kilimani.
Siimani hiyo avatar ni wewe kweli
Nina wivu na mm nimejiweka hapo nimekulipa.View attachment 1182241
Basi sawa. Kama hako kwa avatar ni kapicha kako basi lazima ulikuwa na nyota ya kukojoa kitandani wallahBabu usiwashauri waoe huko, watoto wao watakuwa na roho ya korosho kama Babu yao yule...
Umenipata eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaHivi wewe una undugu na Baba Swalehe ??
Mbona naona kama mna DNA zinazo match?
Nawashauri muoe mabinti wa Chattle ili nyota ya ukuu wa wilaya iwaangukie
Amina
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Mkuu hayo masikio ni ya ushirika au !!!
Huyo dogo ni mrefu inaonekana ila wewe ni mfupi mnene mweusi, mwenye macho mekundu na midomo mikavu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi sawa. Kama hako kwa avatar ni kapicha kako basi lazima ulikuwa na nyota ya kukojoa kitandani wallah
Mkuu kama nakuona vile pale bweni la mapinduzi ukiwa unatoka kuoga pondi[emoji23]Naam naam mkuu, wazee wa kuhudumia kunguni
Ni kweli kuhusu masikio niliwahi kutaniwa ila sio sana.Ulikiwa smart sana, ila tatizo masikio hayo itakuwa ulitaniwa sana na washikaji
Ndio, Chief AdministratorUmenipata eeh View attachment 1182260
πππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uko vizur mkuu