Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
- Thread starter
- #21
Babu usiwashauri waoe huko, watoto wao watakuwa na roho ya korosho kama Babu yao yule...Hivi wewe una undugu na Baba Swalehe ??
Mbona naona kama mna DNA zinazo match?
Nawashauri muoe mabinti wa Chattle ili nyota ya ukuu wa wilaya iwaangukie
Amina