Njoo mfahamu Mwifwa, kama humfahamu.

Njoo mfahamu Mwifwa, kama humfahamu.

Mkuu kama nakuona vile pale bweni la mapinduzi ukiwa unatoka kuoga pondi[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tena mida ya jioni hata assembly mtu hauendi. Lilikuwa bweni langu.

Nikizungukiaga lazima nifike nikasalimie madogo na kuwaonesha kitanda changu jinsi nilivyokimbizwa na kunguni hadi nikahamia class
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Mkuu hayo masikio ni ya ushirika au !!!

Huyo dogo ni mrefu inaonekana ila wewe ni mfupi mnene mweusi, mwenye macho mekundu na midomo mikavu.

Eti masikio ya ushirika

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umepatia tu kwenye urefu wa huyo dogo, mengine umekosa
Kuna siku nitakudukua ngoja nimalize pilikapilika za SADC
 
Kwenye Avatar ni Mwifwa halisi/original.

Hapo alikuwa kidato cha kwanza Uboizini miaka kadhaa iliyopita.

Jee ukimuona kwa sasa ghafla utaweza kumtambua?

Daaahh, life bana linatupeleka puta sana hadi tunabadilika kiumbo(mnene/mwembamba), kisura, rangi(weupe, weusi, maji ya kunde n.k).
bado sio rahisi kumfahamu.
 
Joking tu mkuu

Mimi avatar yangu ndo hii mpaka nakufa

Mpaka siku swalehe anarithi hii id na yeye atamrithisha mwanae

Inshort id ya baba swalehe haitokuja kufa

Maana mi mwenyewe nmeirithi
Halafu nilikuona twitter mkuu, sijui ndio ni wewe...
 
Back
Top Bottom