Daaah,we bibie muuaji kweli aisee...! Avatar huwa ni ........!ahsanteee... maneno ya busara kutoka kwa mtu makini
hata ivyo napendaga avatar yako mkuu
Muuwaji tena jamani!!!!Daaah,we bibie muuaji kweli aisee...! Avatar huwa ni ........!
Wewe huoni unachotufanyia ?Muuwaji tena jamani!!!!
Huyo ni wewe ?Muuwaji tena jamani!!!!
[emoji109]Ngoja niwaambie vijana!!.....
Maua ya kondeni yanapendeza kwa asili yake na sio kumfurahisha mtu....ila Mtu kwa kufurahishwa nayo huyachuma na kuyapeleka nyumbani......
Kuwa vile ulivyo na watu wanaojua au kuona umuhimu wako watakuja karibu yako!!!!.....
Usibadili kariba yako kwa utashi wa mtu bali kariba yako ndio iwavutie watu!!!...
Word is enough for the wise!!!
HapanaHuyo ni wewe ?
HahahahWewe huoni unachotufanyia ?
Afadhali...!Hapana
Poa.Hahahah
Avatar tu hiyo nimeiokota uko..haihusiani na mimi
Asante sanaahsanteee... maneno ya busara kutoka kwa mtu makini
hata ivyo napendaga avatar yako mkuu
AhsanteAsante sana
Na uwe na wakati mwema wewe na wapendwa wako
Daah tunapata tabu aseeh... tuwe tunamwagiana likes bwana walau tufike huko.
Your struggles...so sweet😁Nini ?