Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Duuh...kwa hiyo mwanamke ambaye ana comments 7000 na kajiunga january 2017 humtaki?
kimagesabu inamaana kwa siku anacomment comments
70000 ÷ 600= kwa siku 111
kwa saa anacomment 5.... inamaana anatumia nusu saa kwa siku kujishughulisha.
hapo haujamtolea muda wa kulala.
Never thought of this, hizi hesabu ni za kweli aisee.