Njoo na ideas jinsi ya ku sort out changamoto zinazozikumba jamii kwa kutengeneza app na system

Njoo na ideas jinsi ya ku sort out changamoto zinazozikumba jamii kwa kutengeneza app na system

mwalimu_wa_IT

Member
Joined
Nov 5, 2024
Posts
93
Reaction score
165
Mko poa kwenye jamii kuna changamoto nyingi sana zinabidi ziwe sort out kwa njia ya tech maana now tech inakua saana.

Sasa hapa kuna watu wa aina 2 mwenye uwezo wa kutengeneza mifumo ila hana ideas na .Kuna mwenye Idea ila hajui kutengeneza sasa lengo la huu ni kuwakutanisha hawa wote wawili .. tufanye kazi pamoja.. Mfano mimi najua kutengeneza ila ideas sina.. Trust me ili upate hela lazima utatue tatizo kwenye jamii Trust me Coding inalipa ukitengeneza kitu Kizuri. Karibuni
 
Back
Top Bottom