Duh! Mbona akili yako inawaza mbali sana, unawaza kimwendokasi aiseeWatanzania bado sana, hata ukiambiwa ingiza kidole matakoni kwako halafu lamba nikutabirie, tatizo wengi wetu tunategemea ushirikina, kugusa hapo huna mahusiano gani na kutabiriwa nguchiro nyie
Vuta subira ndugu...hao wa juu watusibitishie kisha tutaendelea
Nasubiri feedback yako...nimepatia...ama ?Duh! Mbona akili yako inawaza mbali sana, unawaza kimwendokasi aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejaribu kiasi... Ya kwanza ina ukweli... Ya pili si kweli... Ya tatu ilishatokea tayari na sasa hakuna tena kitu.1...kuwa makini na adui yule mwanamke...
2...uhususiano uliopo sasa si mzuri
3.utapata mpenzi mwenye uwezo mkubwa ki mali
4....itakuwa safari nzuri sana ile ya nje ya nchi
5...ile mali uliyopoteza hitoipata
6...ata zile ndoto za kupata mtoto zitatimia tena ni mtoto wa kike anakuja
7....kwa bwana/mke yule ndoa hakuna hutomuoa/hatokuoa
8...bahati yako ipo nje ya nchi.
Ujamalizia mbonaUmejaribu kiasi... Ya kwanza ina ukweli... Ya pili si kweli... Ya tatu ilishatokea tayari na sasa hakuna tena kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya nne, ya tano, ya sita si za kweli.... Ya saba ya kweli ilishatokea.... Ya nane hakuna hicho kitu kwa sasa.1...kuwa makini na adui yule mwanamke...
2...uhususiano uliopo sasa si mzuri
3.utapata mpenzi mwenye uwezo mkubwa ki mali
4....itakuwa safari nzuri sana ile ya nje ya nchi
5...ile mali uliyopoteza hitoipata
6...ata zile ndoto za kupata mtoto zitatimia tena ni mtoto wa kike anakuja
7....kwa bwana/mke yule ndoa hakuna hutomuoa/hatokuoa
8...bahati yako ipo nje ya nchi.
Poa....next time itakuwa ya umakini zaidi kuliko hii...asante kwa kushirikiYa nne, ya tano, ya sita si za kweli.... Ya saba ya kweli ilishatokea.... Ya nane hakuna hicho kitu kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati zipo mara nyingi...ya tatu itatokea tena...subiri inakujaUmejaribu kiasi... Ya kwanza ina ukweli... Ya pili si kweli... Ya tatu ilishatokea tayari na sasa hakuna tena kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli nguchiro...sio panya bukuWatanzania bado sana, hata ukiambiwa ingiza kidole matakoni kwako halafu lamba nikutabirie, tatizo wengi wetu tunategemea ushirikina, kugusa hapo huna mahusiano gani na kutabiriwa nguchiro nyie
Watanzania bado sana, hata ukiambiwa ingiza kidole matakoni kwako halafu lamba nikutabirie, tatizo wengi wetu tunategemea ushirikina, kugusa hapo huna mahusiano gani na kutabiriwa nguchiro nyie
Mbna sionii hiyo nyotaa?
Kuna kitu nimejifunza kwenye vitabu mbali mbali sasa nataka nihakikishe .... Kila nilichojitabilia kimetokea....gusa hiyo nyota hapo juu kwa mkono wa kulia kisha comment nitabilie....kisha nitakutabilia mambo 5....tu...kisha uthibitishe je nilichotabiri ni kweli ama uongo....usisahau kushika hiyo nyota...kwa mkono wa kulia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwema??