Njoo ni kutabilie mambo 5

Njoo ni kutabilie mambo 5

1...kuwa makini na adui yule mwanamke...
2...uhususiano uliopo sasa si mzuri
3.utapata mpenzi mwenye uwezo mkubwa ki mali
4....itakuwa safari nzuri sana ile ya nje ya nchi
5...ile mali uliyopoteza hitoipata
6...ata zile ndoto za kupata mtoto zitatimia tena ni mtoto wa kike anakuja
7....kwa bwana/mke yule ndoa hakuna hutomuoa/hatokuoa
8...bahati yako ipo nje ya nchi.
Umejaribu kiasi... Ya kwanza ina ukweli... Ya pili si kweli... Ya tatu ilishatokea tayari na sasa hakuna tena kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1...kuwa makini na adui yule mwanamke...
2...uhususiano uliopo sasa si mzuri
3.utapata mpenzi mwenye uwezo mkubwa ki mali
4....itakuwa safari nzuri sana ile ya nje ya nchi
5...ile mali uliyopoteza hitoipata
6...ata zile ndoto za kupata mtoto zitatimia tena ni mtoto wa kike anakuja
7....kwa bwana/mke yule ndoa hakuna hutomuoa/hatokuoa
8...bahati yako ipo nje ya nchi.
Ya nne, ya tano, ya sita si za kweli.... Ya saba ya kweli ilishatokea.... Ya nane hakuna hicho kitu kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aea190470e20a6680caa818f813a3c69.jpg

Kuna kitu nimejifunza kwenye vitabu mbali mbali sasa nataka nihakikishe .... Kila nilichojitabilia kimetokea....gusa hiyo nyota hapo juu kwa mkono wa kulia kisha comment nitabilie....kisha nitakutabilia mambo 5....tu...kisha uthibitishe je nilichotabiri ni kweli ama uongo....usisahau kushika hiyo nyota...kwa mkono wa kulia

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbna sionii hiyo nyotaa?
 
Mkuu kwema??
Umeachana na Kilimo cha nyanya ukahamia huku??
 
Back
Top Bottom