jambo Tanzania
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 377
- 281
Bado nalima ila msimu badoMkuu kwema??
Umeachana na Kilimo cha nyanya ukahamia huku??
Wabongo bhana...
Hahah Wanapenda mteremko.Wabongo bhana...
Nitabirie game ijayo ya Arsenal.
Kuna kitu nimejifunza kwenye vitabu mbali mbali sasa nataka nihakikishe .... Kila nilichojitabilia kimetokea....gusa hiyo nyota hapo juu kwa mkono wa kulia kisha comment nitabilie....kisha nitakutabilia mambo 5....tu...kisha uthibitishe je nilichotabiri ni kweli ama uongo....usisahau kushika hiyo nyota...kwa mkono wa kulia
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahPambana na hali yako mkuu, me nimegusa na nimetabiri noah yangu iko njiani. Ndorobo wewe
Wanapenda mteremkoVijana wa kim wako bize kutest mahydrogen bomb vijana watanzania wako bize na ramli. Kweli dunia Hamna usawa.
No.4 Umeshindwa kutabiri kama kaoa/hajaoa? hatar1.kuwa makini na matendo yako ya leo yanaweza yakakusababishia matatizo...ni bora ukakaa tu nyumbani
2.ipo bahati mbele yako itakayosababishwa na ndugu yako...itakinufaisha hiyo
3.kuhusu ile mali uliyopoteza...utaipata
4.kama hujaoa/kiolewa muda si mrefu utampata mpenzi atakae kufariji
5. Ile safari haitokuwa njema kabisa kuwa nayo makini
Hahah nguchiroWatanzania bado sana, hata ukiambiwa ingiza kidole matakoni kwako halafu lamba nikutabirie, tatizo wengi wetu tunategemea ushirikina, kugusa hapo huna mahusiano gani na kutabiriwa nguchiro nyie