Njoo ni kutabilie mambo 5

Njoo ni kutabilie mambo 5

Nasubili huo utabili wako nishagusa

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
"Tetesi"

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile App
 
Nitabirie mkuu

New broom sweeps well but old one knows every corner!!
 
aea190470e20a6680caa818f813a3c69.jpg


Kuna kitu nimejifunza kwenye vitabu mbali mbali sasa nataka nihakikishe .... Kila nilichojitabilia kimetokea....gusa hiyo nyota hapo juu kwa mkono wa kulia kisha comment nitabilie....kisha nitakutabilia mambo 5....tu...kisha uthibitishe je nilichotabiri ni kweli ama uongo....usisahau kushika hiyo nyota...kwa mkono wa kulia

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitabirie game ijayo ya Arsenal.
 
1.kuwa makini na matendo yako ya leo yanaweza yakakusababishia matatizo...ni bora ukakaa tu nyumbani
2.ipo bahati mbele yako itakayosababishwa na ndugu yako...itakinufaisha hiyo
3.kuhusu ile mali uliyopoteza...utaipata
4.kama hujaoa/kiolewa muda si mrefu utampata mpenzi atakae kufariji
5. Ile safari haitokuwa njema kabisa kuwa nayo makini
No.4 Umeshindwa kutabiri kama kaoa/hajaoa? hatar
 
Watanzania bado sana, hata ukiambiwa ingiza kidole matakoni kwako halafu lamba nikutabirie, tatizo wengi wetu tunategemea ushirikina, kugusa hapo huna mahusiano gani na kutabiriwa nguchiro nyie
Hahah nguchiro
 
Back
Top Bottom