Njoo ni kutabilie mambo 5

Nitabirie
Kwa hili jina uliloamua kutumia inaonyesha una nyota kali sana mpaka macho yangu yanashindwa kuitazama.

Itabidi nitumie kwa kutazama kiganja chako.

Itabidi uniambie mkoa uliopo na sehemu uliyopo ili tupange kukutana.
 

Naona mmesanuka
Anaishia kulike tu, hana lolote mtoa mada, nahisi anatafuta tu comments.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni aina mpya ya ufisadi iliyoanzishwa na CCM .
 
Mbona mkuu kaingia mitini mana nami nahitaji UTABIRI

Sent using Jamii Forums mobile app
kuna mabadiliko ya kiuchumi unataka kufany,kuepuka hasara omba ushauri kwa ndugu.

achana na kumbukumbu za mapenzi ya nyuma ni kikwazo kwa mahusiano mapya.

kesho ukikutana na mama kambeba mtoto asubuhi kuelekea hospital ni dalili ya kufanikiwa kwa mipango uliyopanga kuitekeleza hapo baadae

mwezi wa pili mwaka huu kuna tatizo lilitokea kwenye chakula,TV,au simu kati ya hivyo ushukuru uliepushwa na tatzo kubwa
 


Nimeigusa tayari.....nasubiri majibu yako.
 
eddy mhando nimegusa tayari, naomba unitabirie mimi ni nani na ninafanya nini hivi sasa, kisha nitabirie napenda chama gani cha siasa hapa nchini na hapa JF nampenda mwanamke gani. Mwisho utajiri wangu niliupataje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…