Njoo ni kutabilie mambo 5

Njoo ni kutabilie mambo 5

X_INTELLIGENCE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
10,400
Reaction score
14,339
aea190470e20a6680caa818f813a3c69.jpg


Kuna kitu nimejifunza kwenye vitabu mbali mbali sasa nataka nihakikishe .... Kila nilichojitabilia kimetokea....gusa hiyo nyota hapo juu kwa mkono wa kulia kisha comment nitabilie....kisha nitakutabilia mambo 5....tu...kisha uthibitishe je nilichotabiri ni kweli ama uongo....usisahau kushika hiyo nyota...kwa mkono wa kulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni namna mpya ya kutafuta comments kwenye uzi.
Kama ilivyo kwenye whatsapp na facebook kwamba ukigusa picha hiyo inabadilika rangi[emoji23][emoji23]
Mara ukikoment picha inakua hivi na vile[emoji23][emoji23][emoji23]

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
 
Mimi nilivyoona umeandika nikutabilie badala ya nikutabirie, nikajua ni kanjanja wa CCM.
 
Back
Top Bottom