Njoo nikuelekeze kutengeneza dawa ya tezi dume bure

M2mishi

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
715
Reaction score
268
Kwa wenye tatizo la tezi dume ni pm nikuelekeze kutengeneza dawa bure au nitext whatssap kwa namba 0628944712 nikuelekeze kutengeneza dawa bila malipo hata ya shilingi moja.
Ukihitaji nikutengezee nitakuchaji 60000 tu ambayo utailipa baada ya kupona
 
Kwa nini usiweke hayo maelekezo hapa?

Huoni ni usumbufu na gharama kwako kwa kila anayehitaji hiyo dawa kukutumia msgs wakati a single post ingewafikia wote mara moja?

Weka wazi kuhusu agenda iliyojificha
 
Basi ngoja nitaweka hapa wazi kila kitu baada ya mda mfupi bwana mkubwa
 
Reactions: THT
Ngoja kwa sasa kuna kazi nafanya nikisha maliza nitamwaga hapa kila kitu
 
Reactions: THT
Tafuta mbegu za parachichi kisha zisage hakikisha unasaga baada ya kuzikausha na kukauka na unga unakua laini sana kisha tafuta mizizi ya papai dume kisha na yenyewe ikaushe uisage changanya unga wake weka kwenye maji ya moto kunywa kijiko kimoja asubuhi na jioni fanya hivyo kwa mwezi kisha kapime utagundua tatizo litakua limepungua na kwa kuendelea miezi mitatu na minne tatizo litaisha kabisa
 
Reactions: THT
Samahani sipo vizuri kwa swala la uandishi
 
Kwa wenye tatizo la tezi dume ni pm nikuelekeze kutengeneza dawa bure au nitext whatssap kwa namba 0628944712 nikuelekeze kutengeneza dawa bila malipo hata ya shilingi moja.
Ukihitaji nikutengezee nitakuchaji 60000 tu ambayo utailipa baada ya kupona

tunaomba dawa ya tatizo la nguvu za kiume mkuu.
 
Mkuu ebu dadavua hizo mbegu za parachichi na mizizi ya mpapai zina contents gani ambazo zinaenda kutibu tezi dume?
 
dah mkuu mzizi wa papai dume utapata wapi yaani unamaanusha ukate mti wa mpapai na uuchukue ule mzizi
 
Mbegu za parachichi na mizizi ya papai dume sio sumu, kama unaumwa jaribu kutumia kama alivyoelekeza uone matokeo .
 
Dawa yake ni mazoezi na kula mlo kamili tu, umepungukiwa nguvu? Una kisukari? Una maradhi gani yaliyopelekea upungukiwe nguvu?

Sina kisaukari, wala maradhi yoyote makubwa. Ila hali ni mbaya mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…