Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini usiweke hayo maelekezo hapa?Kwa wenye tatizo la tezi dume ni pm nikuelekeze kutengeneza dawa bure au nitext whatssap kwa namba 0628944712 nikuelekeze kutengeneza dawa bila malipo hata ya shilingi moja.
Ukihitaji nikutengezee nitakuchaji 60000 tu ambayo utailipa baada ya kupona
Kwa wenye tatizo la tezi dume ni pm nikuelekeze kutengeneza dawa bure au nitext whatssap kwa namba 0628944712 nikuelekeze kutengeneza dawa bila malipo hata ya shilingi moja.
Ukihitaji nikutengezee nitakuchaji 60000 tu ambayo utailipa baada ya kupona
Mkuu ebu dadavua hizo mbegu za parachichi na mizizi ya mpapai zina contents gani ambazo zinaenda kutibu tezi dume?Tafuta mbegu za parachichi kisha zisage hakikisha unasaga baada ya kuzikausha na kukauka na unga unakua laini sana kisha tafuta mizizi ya papai dume kisha na yenyewe ikaushe uisage changanya unga wake weka kwenye maji ya moto kunywa kijiko kimoja asubuhi na jioni fanya hivyo kwa mwezi kisha kapime utagundua tatizo litakua limepungua na kwa kuendelea miezi mitatu na minne tatizo litaisha kabisa
Dawa yake ni mazoezi na kula mlo kamili tu, umepungukiwa nguvu? Una kisukari? Una maradhi gani yaliyopelekea upungukiwe nguvu?tunaomba dawa ya tatizo la nguvu za kiume mkuu.
dah mkuu mzizi wa papai dume utapata wapi yaani unamaanusha ukate mti wa mpapai na uuchukue ule mziziTafuta mbegu za parachichi kisha zisage hakikisha unasaga baada ya kuzikausha na kukauka na unga unakua laini sana kisha tafuta mizizi ya papai dume kisha na yenyewe ikaushe uisage changanya unga wake weka kwenye maji ya moto kunywa kijiko kimoja asubuhi na jioni fanya hivyo kwa mwezi kisha kapime utagundua tatizo litakua limepungua na kwa kuendelea miezi mitatu na minne tatizo litaisha kabisa
Dawa yake ni mazoezi na kula mlo kamili tu, umepungukiwa nguvu? Una kisukari? Una maradhi gani yaliyopelekea upungukiwe nguvu?