Njoo nikufanyie kazi Bure kabisa ukipenda utanilipa

Njoo nikufanyie kazi Bure kabisa ukipenda utanilipa

Jifunze zaid Illustrator na Photoshop. Hzo tenda sio lazma watu wakutafte . we jitolee tu design then waonyeshe wahusika wakipenda wataichangamkia utaexpand ur connections
 
Jifunze zaid Illustrator na Photoshop. Hzo tenda sio lazma watu wakutafte . we jitolee tu design then waonyeshe wahusika wakipenda wataichangamkia utaexpand ur connections
Sawa boss, lkn kujitolea inabidi uwe na information za kuweka kwenye design, ndio maana nimefanya hivo hapa JF bure bila shida, tayari wapo niliowatengenezea. Na fahamu package ya adobe ingiwa kwa kiwango fulani tu, karibu upate huduma yangu bure just tuma information kwangu kwa whatsapp telegram, call 0788643144
 
Huduma inaendelea na tayari wengine kutoka hapa JF wamenufaika na mpango wangu piga, whatsapp, telegram 0759281088.
HUDUMA NI BURE KABISA KWA SASA
 
Sawa boss, lkn kujitolea inabidi uwe na information za kuweka kwenye design, ndio maana nimefanya hivo hapa JF bure bila shida, tayari wapo niliowatengenezea. Na fahamu package ya adobe ingiwa kwa kiwango fulani tu, karibu upate huduma yangu bure just tuma information kwangu kwa whatsapp telegram, call 0759281088.
Taarifa zao zipo kwny websites zao. Luckily enough about 90% of big and small companies owns a website, a blog au wana page kwny social networks! Dig deep huko lazma utoboe mkuu. Lkn hakikisha umejinoa kias cha kutosha ili deal zikianza kumiminika uwe tayari kupambana nazo.
All the best!
 
Shukrani sana mkuu
 
Tayari watu wengi nimeshawafanyia kazi kutoka hapa JF
 
Habari za leo wakuu njoo nikufanyie kazi msimu huu wa sikukuu za Kuhitimish mwaka!!
Call me 0759281088 *ASAP*
 
mkuu graphics ni zaidi ya kuweka picha na text
 
Habar zenyu, mimi ni kijana ambaye najishughulisha na shughuli za graphics designing, kama books cover designing, wedding cards, business card, bronchures, posters, billboards, artist cover, cd cover,vitabu vya risti na tiketi, label, logo za taasisi mbalimbali,...

wakuu njoo nikufanyie kazi msimu huu wa sikukuu za Kuhitimish mwaka!!
Call me 0759281088 *ASAP*

7f384f58ad5c93bd4e4891e36a762f3f.jpg
f201f913b69a0c37360a20ffb707f374.jpg
3261bcd44d74d03a8e333f61954c2e23.jpg

Karibuni sana piga simu, whatsapp, Telegram kwa 0759281088.
Adobe unaielewa sawasawa nikupe diri tusaidiane kibongo bongo
 
Njoo whatsapp nikuoneshe kazi zangu zingine 0759281088
 
Back
Top Bottom