Njoo nikufanyie kazi Bure kabisa ukipenda utanilipa

Jifunze zaid Illustrator na Photoshop. Hzo tenda sio lazma watu wakutafte . we jitolee tu design then waonyeshe wahusika wakipenda wataichangamkia utaexpand ur connections
 
Jifunze zaid Illustrator na Photoshop. Hzo tenda sio lazma watu wakutafte . we jitolee tu design then waonyeshe wahusika wakipenda wataichangamkia utaexpand ur connections
Sawa boss, lkn kujitolea inabidi uwe na information za kuweka kwenye design, ndio maana nimefanya hivo hapa JF bure bila shida, tayari wapo niliowatengenezea. Na fahamu package ya adobe ingiwa kwa kiwango fulani tu, karibu upate huduma yangu bure just tuma information kwangu kwa whatsapp telegram, call 0788643144
 
Huduma inaendelea na tayari wengine kutoka hapa JF wamenufaika na mpango wangu piga, whatsapp, telegram 0759281088.
HUDUMA NI BURE KABISA KWA SASA
 
Taarifa zao zipo kwny websites zao. Luckily enough about 90% of big and small companies owns a website, a blog au wana page kwny social networks! Dig deep huko lazma utoboe mkuu. Lkn hakikisha umejinoa kias cha kutosha ili deal zikianza kumiminika uwe tayari kupambana nazo.
All the best!
 
Shukrani sana mkuu
 
Karibu wadau huduma inaendelea
 
Tayari watu wengi nimeshawafanyia kazi kutoka hapa JF
 
Habari za leo wakuu njoo nikufanyie kazi msimu huu wa sikukuu za Kuhitimish mwaka!!
Call me 0759281088 *ASAP*
 
Karibuni bado naendelea na kazi
 
mkuu graphics ni zaidi ya kuweka picha na text
 
Adobe unaielewa sawasawa nikupe diri tusaidiane kibongo bongo
 
Njoo whatsapp nikuoneshe kazi zangu zingine 0759281088
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…