Njoo nikufundishe njia za kumwacha kwa aibu msichana mpenda pesa

Kuna muda unaweza hisi huyu ni binadamu labda kabanwa leo...akija mara ya pili unaanza kuona ohooo hapa hakuna kitu[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Siamini kama kuna mchuchu anaweza akakupatia pesa yake siku tatu mfululizo.

Vingine mnatoa..chakula n.k
 
Kina ndume zinapenda hela toka kwa wanawake ni balaa, mwanaume anaomba hela mpaka mtu unaona aibu, sio wanawake tu ndio wapenda hela hujaona wanaume ndio utashaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmm hapana kuna mwanaume kweli hanaye muomba hela mwanamke ? Labda huyo mwanamke ni Dada yake wa damu moja kidogo unaweza kumuomba hela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mada nimeitazama kwa mbali na kuona sababu kuu ya yote ni ufukara wa wote -me na -ke. Vitu vilivyotajwa kama nguo, viatu, handbag na simu ni mahitaji ya kawaida ya kila siku (bila kuweka kile kivumishi cha gharama kubwa). Hivyo kama umeingia ktk MAHUSIANO (SIO HIT & RUN) na mwenzio na yeye uwezekano wa kuwa navyo ni mdogo nawe una kauwezo ni budi kusaidia avipate.Naamini wanaume nao wanaona fahari pale mpenzi wake anapokuwa anapendeza na kuvutia. Maswala ya kuacha mpunga ni kama hulka maana hata wenye family utakuta asubui ataacha mpunga Fulani,japo haina tafsiri ya kuhonga ni majukumu….ni kama ile debate ya uhalali wa kutoa mahali….ukifikilia kwa undani!!!Muhimu kuwa makini
 
Mmoja alinidai Kodi ya nyumba,Sabu alikuwa mpya ikabidi nimuahidi mwisho wa mwezi SI akajiachia nilikula dodo Hadi mwezi ufike karbu Mara Saba,mwisho wa siku nikampa teni hakurudi Tena,wanaume Hawa watu tusiwaendee kwa pupa tujifanye wajinga
 
Umri wako ?
Mimi nina 32 nimeoa ila sitakuja kumpenda mwanamke saaaana.
Sasa hayo maneno mwambie mkeo.... Akiomba hela ya mboga mwambie tule matembele kwani hata kichaa ndo anakula hivyo.

Akilalamika mwambie huna unachonipa kwani Kama K hata kichaa anayo.

Unaonekana huyo mwanamke anakuvumilia tu ata... na wengine kwani wewe Ni mtu usiejali hisia wala utu wa mwanamke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maneno rahisi Mkuu ni kwamba wadada wengi (sio walioko Kwenye ndoa) wanajiuza Kuna wale wa direct na indirect,mimi nishapigwa mzinga 480,000/- baada ya kumtongoza
 
Kwa maneno rahisi Mkuu ni kwamba wadada wengi (sio walioko Kwenye ndoa) wanajiuza Kuna wale wa direct na indirect,mimi nishapigwa mzinga 480,000/- baada ya kumtongoza
Wadada wengi wanajiuza, utofauti uko kwenye masoko yao tu.
Wengine fb au Instagram kila lisaa kapost, usihangaike hayo ni matangazo, wengine kwenye magroup ya WhatsApp, wengine mitaani, wanapanda daladala kumbe hawaendu popote kazi kujitongozesha tu, wengine kazini, chuoni n k
 
Kuna kikao cha bodi, nikitoka nitacoment


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…