FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Unaitumia ?Ninayo post graduate ya finance and banking iko tu ndani
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Anaitumia kula bure kwa wazazi.Unaitumia ?
Kajitahidi kueleza kwa fasihi. Apongezwe badala ya kukejeliwa.Wabongo kwa ma theory na michorochoro tu hatujambo.
Acha porojo za kendezi jamvin. Zama chaka wewe usafishe liwe shamba ulime sasa hivi gunia la mahindi hadi laki Tatu.
Mzee Shirimaa
Mimi sijasema nina degree hiyo lakini nduguUnatoa Degree wakati ww hiyo degree huna!