Njoo nikupe dili la January: Niuzie notes za grade 1 & 2

Njoo nikupe dili la January: Niuzie notes za grade 1 & 2

mtanzalendo

Member
Joined
Aug 29, 2014
Posts
74
Reaction score
121
Habari wakuu,

Naomba mwalimu au mtu yoyote mwenye notes za Shule za Msingi English medium anicheki PM tufanye biashara.

Nahitaji notes za grade 1 and 2.

Masomo ni

ASP
kiswahili
Writting
Reading
Health care and Environment
Kusoma
Numeracy

Nicheki PM
Au atume email kwenye mzalendo255@gmail.com
 
Sasa grade 1 na 2 nao Wana notes?
Daah kwwli elimu imeingiliwa

Chekechea moaka darasa la pili yanaitwa elimu ya awali
Hai wanafunzi wanapewa exercises na activities za ku develop ubongo wao sii notes
.ukiona mwalimu anawapa hai watoto notes basi sio mwalimu huyo

Mwalimu was hayo madarasa anatakiwa aww mbunifu Sana Katika kuandaa maswali zaidi yatakayowasaidia kudeveloo skills mbalimbali kama numeracy, writing, healthcare nk

Kuchora na kusoma na kuhesabu na kujua basics za afya sio kuandika notes
 
Ndi maana hawana subjects

Hivyo vyote umeorodhesha hapo juu NI skills sii subjects

Kuandika-writing
Reading-kusoma
Numeracy -namba
Health care - kujali afya

Hayo sio masomo (subjects) Bali wanapewa basic skills and knowlege
 
Sasa grade 1 na 2 nao Wana notes?
Daah kwwli elimu imeingiliwa

Chekechea moaka darasa la pili yanaitwa elimu ya awali
Hai wanafunzi wanapewa exercises na activities za ku develop ubongo wao sii notes
.ukiona mwalimu anawapa hai watoto notes basi sio mwalimu huyo

Mwalimu was hayo madarasa anatakiwa aww mbunifu Sana Katika kuandaa maswali zaidi yatakayowasaidia kudeveloo skills mbalimbali kama numeracy, writing, healthcare nk

Kuchora na kusoma na kuhesabu na kujua basics za afya sio kuandika notes
Mimi nimeelewa anachotaka, lakini hawezi kulipa kwa kuwa Ni kazi ngumu kuandika au kuscan.
 
Habari wakuu,

Naomba mwalimu au mtu yoyote mwenye notes za Shule za Msingi English medium anicheki PM tufanye biashara.

Nahitaji notes za grade 1 and 2.

Masomo ni

ASP
kiswahili
Writting
Reading
Health care and Environment
Kusoma
Numeracy

Nicheki PM
Au atume email kwenye mzalendo255@gmail.com
Zikipatikana Complete unalipa ngapi boss kwa somo?
 
Back
Top Bottom