Njoo nikuuzie Hiace ya mbezi-ubungo namba C kwa Milioni 8.8

Njoo nikuuzie Hiace ya mbezi-ubungo namba C kwa Milioni 8.8

asanteelimu2016

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2016
Posts
248
Reaction score
147
Gari imenyooka, haina cheni. Njoo na fundi ukague uondoke na mchuma.
Engine 2l Desel
Seat 15 inaingia mpaka watu 18-21
Mawasiliano -0654846084

Gari ni manual
Iko mbezi
IMG-20190124-WA0141.jpeg
IMG-20190124-WA0140.jpeg
IMG-20190124-WA0134.jpeg
IMG-20190124-WA0132.jpeg
IMG-20190124-WA0133.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo kitu bado iko mang'anyu ikikutana na mtu anayejua gari hiyo haiachi kama kweli hizi picture hazikupigwa kwa camera 360 inaonekana bado body yake nzuri.

Hiace kama hiyo showroom bila 27/28mill hupewi.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

umekuja na id nyingine,,,basi sawa!
 
Kuna MTU nilimwachia kama hiyo sasa hivi ni tajiri mi nafanya kazi ya kumpiga mizinga nikichacha nilimpa bureee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

umekuja na id nyingine,,,basi sawa!
Na wewe ni Great Thinker?

Ninini kilichokufanya useme nimekuja na id nyengine?kwamba mtu akiweka tangazo lake basi hata sisi member wengine tusichangie ikiwa ni pamoja na kuwasahihisha wakosoaji?

So wewe ndiye peke yako unaeweza ku-comment kwenye uzi kisha wengine wasitoe mawazo yao siyo?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Na wewe ni Great Thinker?

Ninini kilichokufanya useme nimekuja na id nyengine?kwamba mtu akiweka tangazo lake basi hata sisi member wengine tusichangie ikiwa ni pamoja na kuwasahihisha wakosoaji?

So wewe ndiye peke yako unaeweza ku-comment kwenye uzi kisha wengine wasitoe mawazo yao siyo?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Ndiyo!

Ndiyo!

Ndiyo!

Swali jingine...
 
Aliechangia na kuonesha uhalisia wa gari hata simfahamu mkuu uliyesema jamaa amekuja na id nyingine ni kumkosea mwingine.

Gari bado ipo wakuu kwa mtu aliye serious anicheki direct 0654846084

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom