asanteelimu2016
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 248
- 147
Hiyo kitu bado iko mang'anyu ikikutana na mtu anayejua gari hiyo haiachi kama kweli hizi picture hazikupigwa kwa camera 360 inaonekana bado body yake nzuri.Fugia kuku mjomba!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hiyo kitu bado iko mang'anyu ikikutana na mtu anayejua gari hiyo haiachi kama kweli hizi picture hazikupigwa kwa camera 360 inaonekana bado body yake nzuri.
Hiace kama hiyo showroom bila 27/28mill hupewi.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
[emoji23][emoji23][emoji23] walahi jf sio sehem ya kuweka matangazo walahiFugia kuku mjomba!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
umekuja na id nyingine,,,basi sawa!
Kuna MTU nilimwachia kama hiyo sasa hivi ni tajiri mi nafanya kazi ya kumpiga mizinga nikichacha nilimpa bureee.Hiyo kitu bado iko mang'anyu ikikutana na mtu anayejua gari hiyo haiachi kama kweli hizi picture hazikupigwa kwa camera 360 inaonekana bado body yake nzuri.
Hiace kama hiyo showroom bila 27/28mill hupewi.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
wallah kachukue mchuma huo,,cheni utaweka hata yako ya kiunoni wallah![emoji23][emoji23][emoji23] walahi jf sio sehem ya kuweka matangazo walahi
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe ni Great Thinker?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
umekuja na id nyingine,,,basi sawa!
Ndiyo!Na wewe ni Great Thinker?
Ninini kilichokufanya useme nimekuja na id nyengine?kwamba mtu akiweka tangazo lake basi hata sisi member wengine tusichangie ikiwa ni pamoja na kuwasahihisha wakosoaji?
So wewe ndiye peke yako unaeweza ku-comment kwenye uzi kisha wengine wasitoe mawazo yao siyo?
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
umekuja na id nyingine,,,basi sawa!
Kuwa makini na majibu unayotoa humu ndani.Fugia kuku mjomba!
Ili iweje,utanilipa dada?Kuwa makini na majibu unayotoa humu ndani.
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk