Njoo P.M

Yani Leo ndo nimeonja utamu wa jf tangu nijiunge.
Sijaamini joanah kuniambia niende naye PM!!!!!!! Ila nimejitathimini nimeona mmmh.
Love you joanah
 
Yani Leo ndo nimeonja utamu wa jf tangu nijiunge.
Sijaamini joanah kuniambia niende naye PM!!!!!!! Ila nimejitathimini nimeona mmmh.
Love you joanah
Nakusubiri PM[emoji124] [emoji124]
 
Nakusubiri PM[emoji124] [emoji124]
Kwa jf hii kweli jamani mmmh!
Utakuta una-mp dume mwenzako weee!
Au ukakuta una chat na mme wa joanah.
Haya nakuja ila naogopaaa!!
 
Hii njoo pm itawagharimu wengi maani ni njia ya jamaa zetu wa usalama, wanaleta jambo litalomvuta husika/wahusika wao then unasikia ni PM, ndio tayari.
 
Yani Leo ndo nimeonja utamu wa jf tangu nijiunge.
Sijaamini joanah kuniambia niende naye PM!!!!!!! Ila nimejitathimini nimeona mmmh.
Love you joanah
hahaha nimejikuta nacheka tu ,maana nimesoma huu uzi coment za watu nilipofika kwako nikajikuta nacheka t
 
Yani zinachosha haswaaaaaa laiti wangejuaaaaaa hahaha mengine
wacha nifunge domo langu
Cc Smart911
[emoji23] kaa kimya love... Kama kweli unampenda mtu pm za nini...

Na ukimtokea mwanamke public mpaka akakukubali pm uende kufanya nini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…