Njoo Samaki Samaki

Unaishi buza kule karibu na kitunda unakuja kula mishkaki samakisamaki

Mbona mbali sana mkuu[emoji12]
 
hahaha mi nmetoka hapo mda c mrefu nilikuwa na demu wakizungu. Ngabu hujaniona mnyamwez hapo
 
Hapo samaki samaki nikisguka baada ya kutokanyaga bongo kwa miaka 10.

Ile nafika tu nikasikia mtu ananitaja jina langu na ubini wangu. Halafu anaanza kutoa intro kuubwa kwa wadau kwamba huyu mtu ana umuhimu gani katika nchi hii.

All along nilikiwa nafikiri nitarudi anonymous fulani, stranger in my own town fulani. Nione vijana wanafanya nini. Kumbe tofauti jungu kuu halikosi ukoko hata likizamia ughaibuni miaka 10. Siku likiibuka watu watapata harufu ya pilau.

Hiyo mishkaki imenitamanisha.
 
Hapo samaki samaki nikisguka baada ya kutokanyaga bongo kwa miaka 10.

Ile nafika tu nikasikia mtu ananitaja jina langu na ubini wangu. Halafu anaanza kutoa intro kuubwa kwa wadau kwamba huyu mtu ana umuhimu gani katika nchi hii.

Hiyo hata mimi ilishawahi kunitokea hapa hapa Mlimani City. Nimeshuka kwenye gari tu naskia mtu anataja jina langu. Halafu mtu mwenyewe kumbe ni mdogo wa mchuchu flani hivi niliyesoma naye. Huyo dogo hata sikumtambua hapo hapo ikabidi nizuge kama namjua [si unajua watu ukiwauliza 'we nani, nimekusahau' wanaweza kudhani unajidai...so ikabidi nizuge tu].

Hiyo mishkaki imenitamanisha.

I highly recommend them. They are the most delectable shish-kabobs that I've had anywhere!

Try them when you get a chance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…