Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Mi naishi Buza siku zote.
Mambo ya USA ni swagga tu.
Ngabu daaah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Mi naishi Buza siku zote.
Mambo ya USA ni swagga tu.
Utakoma kuringa mwaka huu!
Inaelekea umepaniwa kweli kweli!
Wala usinitaarifu mana moyo utaumia tu..Si unajua bado upo deep inside my heart??? Wewe kula raha tu na ngabu
gadddddeeeiiimmm!!!!!
Kama anakula scones atakuambia anakula burger.Mhaya ni mtu anayetokea mkoa wa Kagera.
Unaishi buza kule karibu na kitunda unakuja kula mishkaki samakisamaki
Mbona mbali sana mkuu[emoji12]
Nikaribie wapi tena??Karibu tena
Hapo sawa[emoji3]Usafiri ninao halafu nina ndugu kibao Sinza...
Nikaribie wapi tena??
Karibu kwanguKwetuu au unataka wapi
Karibu kwangu
Kule nimehama...Ntaku PM nikupe direction.Si nishagakuja mara nyingi tu au bado unataka tu
Hapo samaki samaki nikisguka baada ya kutokanyaga bongo kwa miaka 10.
Ile nafika tu nikasikia mtu ananitaja jina langu na ubini wangu. Halafu anaanza kutoa intro kuubwa kwa wadau kwamba huyu mtu ana umuhimu gani katika nchi hii.
Hiyo mishkaki imenitamanisha.
gadddddeeeiiimmm!!!!!
Hebu taja muda pendekezwa niangalie ratiba yangu....Komredi kesho kama una nafasi pitia pale Nguruko Annex tuchafue meza...
Mhaya ni mtu anayetokea mkoa wa Kagera.
Mi najua anatokea Gangabilili, wilaya mpya ya Itilima
[emoji38][emoji38][emoji38]