Somanda ndo nyumbani...
Budalabuhega, Kanadi, Nangale, Ndololezi, Mwanihunda & Migato.
Kumbe nilikuwa karibu na ukweli!
yaan nimekaa hapa naangalia meza ipi iko peke yake naona zote zimejaaMi naishi Buza siku zote.
Mambo ya USA ni swagga tu.
yaan nimekaa hapa naangalia meza ipi iko peke yake naona zote zimejaa
NN siku ukija mikoani nijulishe 🙄🙄
Ni GalangabililiMi najua anatokea Gangabilili, wilaya mpya ya Itilima
[emoji38][emoji38][emoji38]
hahaaaaaa niko na ............asije akanenepa gaflaNtumie PM unambie ulipo na umvevaa nini....
Wewe mtu usipoachanisha ndoa za watu mwaka huu sijui naona wadada wanashoboka ile mbaya by the nakubal sana swaga zak.Am out
Wewe mtu usipoachanisha ndoa za watu mwaka huu sijui naona wadada wanashoboka ile mbaya by the nakubal sana swaga zak.Am out
Sasa unacheka nini?,nenda kwa USA baby ukatingishe ZE bunyoz na kuitetemesha baada ya kuijaza mishikaki na bia.Hahahahahaha
Sasa unacheka nini?,nenda kwa USA baby ukatingishe ZE bunyoz na kuitetemesha baada ya kuijaza mishikaki na bia.
Sababu huyo demu,kabla hujamkamua tayari alisema umemkandamiza,sasa namwambia awahi kwako coz umempania ili ufanye kweli au vipi?
Sababu huyo demu,kabla hujamkamua tayari alisema umemkandamiza,sasa namwambia awahi kwako coz umempania ili ufanye kweli au vipi?
Ina maana wewe hukusoma humu,alipojieleza kwangu? kuwa tayari yeye ne wewe mmeishalengeshana?,basi wewe inaonekana unamkimbia na kuna kitu hukipendi kwake bhana.Alisema nimemkandamiza?
Hivi mna nini lakini na huyo dada? Kawakosea nini?
Acheni kumwandama dada wa watu bana.
Nakupa namba ya Jidada moja aged 40 linapenda Vijana sana
Ina maana wewe hukusoma humu,alipojieleza kwangu? kuwa tayari yeye ne wewe mmeishalengeshana?,basi wewe inaonekana unamkimbia na kuna kitu hukipendi kwake bhana.