Njoo Samaki Samaki

Njoo Samaki Samaki

NN siku ukija mikoani nijulishe 🙄🙄

Unataka ku hang out na mimi? Jumatatu tukutane hapo basi.....

20160522_120539.jpg
 
Wewe mtu usipoachanisha ndoa za watu mwaka huu sijui naona wadada wanashoboka ile mbaya by the nakubal sana swaga zak.Am out

That's what's up playboy.

'Preciate you very much.
 
Sababu huyo demu,kabla hujamkamua tayari alisema umemkandamiza,sasa namwambia awahi kwako coz umempania ili ufanye kweli au vipi?

Alisema nimemkandamiza?

Hivi mna nini lakini na huyo dada? Kawakosea nini?

Acheni kumwandama dada wa watu bana.
 
Alisema nimemkandamiza?

Hivi mna nini lakini na huyo dada? Kawakosea nini?

Acheni kumwandama dada wa watu bana.
Ina maana wewe hukusoma humu,alipojieleza kwangu? kuwa tayari yeye ne wewe mmeishalengeshana?,basi wewe inaonekana unamkimbia na kuna kitu hukipendi kwake bhana.
 
Back
Top Bottom