Njoo Samaki Samaki

Mkuu NN hiyo mbuzi au Ng'ombe?

Mbuzi poa sana dah ngoja niangalie ustaarabu usafiri.

Naona watu wengi safari hii wamepania safari za Bongo.

Ukipiga hiyo unafanya ile twaita "flashing down" na bilauri mbili au tatu za Bells basi kila kitu sawa.

Aisee wanatoza kiasi gani kwa sahani moja ya mishikaki nasikia jamaa atoza kisawasawa?
 
Reactions: BAK

Mshikaki mmoja hapa Samaki Samaki ni elfu 5.
 
lol! Mkuu bila shaka udenda unakuchuruzika wewe mpaka umeulizia bei ya sahani lol πŸ™‚πŸ™‚

Mshikaki mmoja hapa Samaki Samaki ni elfu 5.

Hiyo poa sana.

Mimi ntakuja kwanza mwenyewe halafu ndio ntapanga kuchafua meza na washkaji.

Ila NN we mjanja sana, eti unaishi Buza.
 
lol! Mkuu bila shaka udenda unakuchuruzika wewe mpaka umeulizia bei ya sahani lol πŸ™‚πŸ™‚

Yaani zile bbQ za Ughaibuni hazifiki dau la hizo zinazoonekana hapo.

Hizo nyama ni safi sana kwenda na spirits.

Si unafahamu zinavunjavunja.

lol
 
Hiyo poa sana.

Mimi ntakuja kwanza mwenyewe halafu ndio ntapanga kuchafua meza na washkaji.

Ila NN we mjanja sana, eti unaishi Buza.

Kwani vipi...sijakaa kaa mtu anayeweza kuishi Buza?

Hii ndo hood yangu pande hizi....

Hilo ni kweli kabisa kuna watu wana kipaji cha kuchoma nyama yaani unataka kuendelea kutafuna tu.

Yaani zile bbQ za Ughaibuni hazifiki dau la hizo zinazoonekana hapo.

Hizo nyama ni safi sana kwenda na spirits.

Si unafahamu zinavunjavunja.
 
Ina maana wewe hukusoma humu,alipojieleza kwangu? kuwa tayari yeye ne wewe mmeishalengeshana?,basi wewe inaonekana unamkimbia na kuna kitu hukipendi kwake bhana.

Unaamini kila niandikacho humu ?pilipili usiyoila yakuwashia ninii
 
The New version of Nyani Ngabu.[emoji3]

Hapo uliposema unaishi Buza hahahahah wataanza divert from the lane maana kuna watu walisha weka masterplan ya kutusua USA baby through u.

Buza baby[emoji23] [emoji119]
 
Unaamini kila niandikacho humu ?pilipili usiyoila yakuwashia ninii
Ulipokuwa unabana pua na kuandika oooh tumelengeshana,sasa hayo ya pilipili nisioila yanatoka wapi?,au ulikuwa unamwandikia shetani asome,halafu unaniambia ooooh unaamini kila niandikacho humu,kwa hiyo ulikuwa unajilengesha kwa Nyani huku yeye amekupuuza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…